Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA imekamata dawa muhimu ,dawa za mifugo na Vipodozi vyenye thamani ya shilingi miluoni kumi na saba katika Operesheni iliyofanyika na Mamlaka hiyo katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda
za juu Kusini
Mkurugenzi mkuu Mamlaka ya Chakula na dawa Hiiti Silio amebainisha kuwepo aina tano za dawa zulizobainika ,huku zikiwa katika Makundi mawili, sanjari na kufafanua tofauti ya dawa bandia na dawa halisi
Utafiti huo ulifanyika Oktoba 4 hadi 6 mwaka huu ambapo wadau mbalimbali na wananchi wametakiwa kushirikiana na Mamlaka ya Chakula na dawa pale wanapobaini uwepo wa dawa na Vipodozi bandia kwa manufaa ya Jamii na taifa
DAWA BANDIA
-
06:36
0 comments:
Chapisha Maoni