Eneka ni moja kati ya nyimbo ambazo Diamond ameziachia kwa kushtukiza na mapokezi yake yameonekana kuwa makubwa tofauti na alivyotarajia. Miongoni mwa walioonekana kuikubali ngoma hiyo ni Yemi Alade.
Kitendo cha Diamond kutumia baadhi ya maneno ya lugha ya nchini Nigeria ndio kimeonekana kumfanya Yemi kuupenda zaidi wimbo huo.
Muimbaji huyo kutoka huko Nigeria, ameshindwa kuzuia hisia zake kwa wimbo huo baada ya kucomment kwenye moja ya video ambayo Diamond ameiweka kwenye mtandao wa Instagram. “Omg !you are singing in IGBO 💃💃 @diamondplatnumz,” ameandika Yemi Alade.
PAC YAPONGEZA UJENZI NYUMBA 109 KWA WAATHIRIKA WA MAPOROMOKO YA TOPE HANANG
-
Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia
masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema, ujenzi wa nyumba
hi...
Saa 7 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni