Klabu ya simba maarufu kama wekundu wa msimbazi imethibitisha kumteua kocha Hemed Suleiman maarufu kama morroco kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo kuelekea machi za marudiano za kimataifa baada ya kuachana na kocha wake Fadlu Davids.
SEKTA YA MADINI IMEENDELEA KUWA NGUZO YA UKUAJI WA UCHUMI-MAJALIWA
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya madini imeendelea kuwa
nguzo ya uchumi nchini ambapo katika mwaka 2022 sekta hiyo imekua kwa
asilimia ...
Saa 7 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni