Matokeo tuliyopata timu za Tanzania kwenye michuano ya CAF inaonesha ubora wa ligi yetu,ni kweli sisi namba 5 barani Afrika.
Wiliete 0-3 Yanga SC
Gaborone 0-1 Simba SC
El merriekh 0-2 Azam FC
Rayon 0-1 Singida BS
Timu zote zimefanya vizuri kwenye michezo yake ya kwanza na wote wakiwa ugenini.
Msimamo wa Goli la mama:
- Yanga SC - Tshs 15m
- Azam FC - Tshs 10m
- Simba SC - Tshs 5m
- Singida BS - Tshs 5m
Pongezi Kwa @ligikuu Kwa mapambano wanayofanya licha kuwa na changamoto ndogo ndogo lakini Kwa asilimia kubwa wanafanya kazi kubwa ya kukuza mpira wetu na kuendana na mabadiliko ya mpira wa kisasa.
0 comments:
Chapisha Maoni