Ligi kuu tanzania bara imeendelea leo kwa matokeo ya mnyama simba sports klabu kuibuka na ushindi wa mabao 3 kwa 0 dhidi ya Namungo.
Wakati Azam ikishindwa kupata ushindi kwa jkt
Mechi za ligi zikiwa zinaendelea simba imefanikiwa kukaa kileleni kwa ligi.
0 comments:
Chapisha Maoni