Aliyekuwa Kada mwandamizi wa CHADEMA Ezekiel Wenje ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi(CCM).
Katika moja ya maneno yake wakati wa ukarobisho Wenje alisema amevutiwa na ccm na sasa amepanda daraja.
Pia Wenje alikazia kuwa uchaguzi ni huru na CHADEMA hawajazuiliwa bali wao wenyewe wamejitoa.
Kampeni zinaendelea kupamba moto wakati vyama mbalimbali vikitoa ahadi mbalimbali.
0 comments:
Chapisha Maoni