DR. ALI MOHAMED SHEIN ALA FURATI NA WANANCHINI WA MKOA WA KUSINI UNGUJAIMG_2627Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kusini Unguja, wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Tunguu jana. IMG_2638Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wakifurahi katika Viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,katika mualiko wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana. IMG_2649Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipeana mkono wa shukurani na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Alhaj Dk.Mohamed Gharib Bilal,baada ya futari aliyomualika jana huko katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List