LHRC YATOA TAARIFA YA NUSU MWAKA YA MATUKIO MBALIMBALI NCHINI KUANZIA JANUARY-JUNE 20131 Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu  (LHRC), Pasience Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Julai 29, 2013, wakati akitoa taarifa ya nusu mwaka ya kuanzia  Januari hadi Juni 2013 ya kituo hicho kuhusu mambo  mbalimbali yaliyotokea nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo hicho Imelda Urio. 2 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa Kituo  hicho Imelda Urio, akizungumza katika mkutano huo.
3 Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mlowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Wengine ni watafiti wa kituo hicho
4Baadhi ya waandishi wa habari waliodhuria mkutano  jana.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List