RAIS KIKWETE AWASILI BUKOBA, AKUTANA NA TAIFA STARS MWANZA, AWATAKIA USHINDI DHIDI YA UGANDA Jakaya Mrisho Kikwete akifungua jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013
mjini Bukoba.
 Picha ya Pamoja
Wakazi wa Kagera wakisalimiana na Mh Raisi Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars
aliokutana nao Uwanja wa ndege wa Mwanza leo Julai 24, 2013 wakati yeye
akielekea Bukoba na Taifa Stars wakiwa wamemaliza kambi na sasa  wanaelekea Uganda kupambana na The Cranes katika mechi ya marudiano ya  CHAN .
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List