Taswira:Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Afuturisha Baadhi ya Viongozi wa Dini Mbalimbali na Serikali wa Lindi

  Baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali na serikali wa Lindi wakishiriki katika futari rasmi ilyoandaliwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete katika makazi yake mjini Lindi tarehe 25.7.2013.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa dini mbalimbali wa Lindi baada ya kuwaandalia futari nyumbani kwake hapo mjini Lindi tarehe 25.7.2013
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiaagana na baadhi ya akina mama walioshiriki futari aliyowaandalia nyumbani kwake mjini Lindi tarehe 25.7.2013. Picha na John Lukuwi
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List