WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WAENDELEA NA ZIARA YA KUJIFUNZA UTALII AFRIKA KUSINI,WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA YA KUSINI RADHIA MSUYA

 Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mheshimiwa Radhia Msuya akizungumza na wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA waliomtembelea ofisini kwake jijini Pretoria
  Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja na Balozi Radhia Msuya (wane kushoto). Wengine katika picha ni Jasper Masika Mtanzania anayeishi Afrika Kusini, Phinias Bashaya wa Mwananchi, Pascal Shelutete Meneja Uhusiano TANAPA, Lilian Shirima (TBC) , Alex Magwiza (TBC), Albano Midelo (Nipashe) na Afisa wa Ubalozi.
  Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Med Clinic alikolazwa Rais wa Kwanza Mzalendo Nelson Mandela akiendelea na matibabu.
Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja nje ya Kijiji cha Makumbusho cha Lesedi.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List