BAADA YA MAJANGA SASA SNURA AACHIA 'NIMEVURUGWA'


MSANII Snura ametoa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Nimevurugwa’.Wimbo huo utakuwa ni wa pili ambapo awali aliachia wimbo wa  ‘Majanga’ ambao bado unafanya vema katika tasnia ya muziki katika matamasha mbalimbali na hafla anazoalikwa.

Wimbo huo ambao ameupiga katika miondoko ya mduara umetambulishwa jana katika vituo mbalimbali vya redio.

Baadhi ya wadau wa muziki waliopata fursa ya kuusikiliza wameupa sifa wimbo huo ambao unazungumzia mambo kadha wa kadha  katika jamii, elimu na maisha kwa ujumla.

Awali msanii huyo ambaye nyota yake ilianza kung’ara katika uchezaji wa filamu lakini baadaye aligeukia muziki.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List