CATHERINE FOUNDATION YATOA MKONO WA IDD EL FITIRI KWA YATIMA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha ikiwa ni sehemu ya zawadi za Mkono wa Idd El Fitiri kwa yatima na wasio jiweza.
 Catherine (kulia) akizungumza na baadhi ya viongozi na wasimamizi pamoja na watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha
 Watoto wa kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha walipata zawadi mbalimbali kwaajili ya siku Kuu ya Iddi.
 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akiwa katika picha na watoto mara baada ya kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kituo cha Help for the Maasai kilichopo kwa Mrefu mkoani Arusha leo.
Catherine Magige akiwa na Mwandishi wa Channel 10 mjini Arusha, Jamilah Omar.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List