Vijana wanaohamasishaji wa
utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi wakito elimu hiyo katika
mitaa ya Tandika Sokoni jijini Dar es
Salaam, Kampeni hiyo ya uhamasishaji juu ya kuongeza virutubishi kwenye
unga wa ngano,unga wa mahindi na mafuta ya kula unazihusisha
Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha
ananunua
vyakula vyenye nembo ya Virutubishi. Kampeni
hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzaniaz.(TFDA)
Akina mama wanaojihusisha na upembuaji wa maharage katika
soko la vyakula la Tandika jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza kwa makini Adamu
Juma ( kulia) wakati alipokuwa akiwapa
elimu ya utumiaji wa vyakula
vilivyoongezwa Virutubishi .
Vijana wanaohamasishaji wa
utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi wakito elimu hiyo katika
mitaa ya Tandika Sokoni jijini Dar es
Salaam, Kampeni hiyo ya uhamasishaji juu ya kuongeza virutubishi kwenye
unga wa ngano,unga wa mahindi na mafuta ya kula unazihusisha
Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha
ananunua
vyakula vyenye nembo ya Virutubishi. Kampeni
hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzaniaz.(TFDA)
Hadi madereva wa boda boda nao walipata elimu.
0 comments:
Chapisha Maoni