TANZANIA YAZINDUA RASMI SIKU YA TEMBO KITAIFA



 Msanii wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City
Maandamano
 Maandamano ya Siku ya Tembo yakiwa yanaendelea kuelekea ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Kongamano hilo
 Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa leo
Mkurugenzi wa wanyamapori  Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander Songorwa akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.
 Wadau mbalimbali wa utalii na kupinga mauaji dhidi ya Tembo wakiwa wanafuatilia kwa umakini maadhimisho ya Siku ya Tembo kitaifa.

Makamu Mwenyekiti wa kundi la wabunge wa Tanzania wanaojihusisha na hifadhi endelevu ya maliasili na matumizi endelevu ya mazingira (TPGSNRC), Othman Mfutakamba akiangalia meno ya tembo wakati wa maadhimisho ya siku ya tembo kitaifa iliyokuwa na kaulimbiu ‘Jiunge katika mapambano dhidi ya ujangili wa tembo’ yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli ambao walidhamini maadhimisho hayo. Kulia ni askari wa Wanyamapori, Emmanuel Katambi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List