Mchezaji na Kepteni wa zamani wa Timu ya
Taifa Stars, Jella Mtagwa (kushoto) akipokea cheti cha nyumba
aliyokabidhiwa na SHIWATA na eneo la robo ekari ambalo anatarajia kujenga
nyumba kubwa
Mwanachama huyu wa SHIWATA kulia ameamua kujijengea nyumba yake pole pole hapa akikabidhiwa cheti chake
TMA YANG'ARA MAONESHO YA NANE NANE 2025.
-
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imenyakua kombe kupitia maonesho ya
Nane Nane 2025 yaliyofanyika katika Mkoa wa Morogoro. Ushindani wa TMA
kupitia...
Dakika 21 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni