FILAMU ya DASMILA inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu
-
13:52
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo
FILAMU ya DASMILA inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu akizungumza katika safu hiiMkurugenzi wa DJ Marketing & Promotion ambao ndio wasambazaji wa kazi hiyo,Haulle
Daniel amesema kazi hiyo ime kamilika kwa asilimia zote hivyo wapenzi
wa filamu wakae mkao wa kula kwani imewashilikisha wasanii wengi akiwemo
Shamsa Frod,Jack Pentzel, Elias Mkali, Shaban Dicosta na wasanii
wengine wanaotamba katika anga za filamu nchini
0 comments:
Chapisha Maoni