MAKAMU WA RAIS AONGOZA SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA JULIUS NYAISANGA




Wanakamati wa kamati ya kumuaga mtangazaji mkongwe nchini, marehemu Julius Masiaga Nyaisanga, Masou Masoud (kushoto) na Aboubakar Lyongo wakijadiliana jambo kabla ya mwili wa Marehemu Julius Nyaisanga kuwasili katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo, ambapo shughuli za kuaga mwili zilifanyika kabla ya kuusafirisha mwili kwa mazishi katika Kijiji cha Buhemba, Tarime Mkoani Mara. (Picha na Francis Dande)
Baadhi ya waombolezaji.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu.

Mtoto wa marehemu Julius Nyaisanga, Samweli Nyaisanga (kushoto) akiwa na baadhi ya wanandugu kabla ya kuagwa kwa mwili wa baba yake.
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Nyaisanga. Kutoka kulia ni mtoto wa marehemu, Beatrice Nyaisanga na Samweli Nyaisanga. 
Wanafamilia.
Mke wa marehemu, Leah Nyaisanga akiwa na watoto wake Samweli Nyaisanga na Beatrice Nyaisanga.

 Msafara wa magari ukiingia katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya shughuli za kuaga mwili wa marehemu Julius Naisanga 'Acle J'
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Nyaisanga.
 Waombolezaji.
 Padri akimwagia maji ya baraka jeneza.
 Regina Mwalekwa akisoma neno la Mungu.
 Baadhi ya waombolezaji.
 Waandishi wa habari wakiwa kazini.
 Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal akipeana mkono na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
 Makamu wa Rais akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizunguka 
 Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari (MOAT), Reginald Mengi akizungumza wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akitoa salamu za rambirambi.
 Makamu wa Rais akitoa salamu za rambirambi.
 Mwili wa marehemu Nyaisanga.
 Mjane wa marehemu, Leah Nyaisanga akitoa heshima za mwisho.
 Dada wa marehemu akitoa heshima za mwisho.
 Mtoto wa marewhemu, Beatrice Nyaisanga akitoa heshima za mwisho.
 Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho.
 Mwenyekiti wa MOAT, Reginald Mengi akitoa heshima za mwisho.
 Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa akitoa heshima za mwisho.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akimfariji mke wa marehemu.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akimpa pole mtoto wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List