WAKAZI WA TABATA SEGEREA WAITIKIA WITO WA KUPIGA PICHA KWAAJILI YA KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA MUDA HUU
Wakazi wa mtaa wa Migombani Kata ya Segerea wakiwa katika foleni ya kusubiria fomu zao mara baada ya kumaliza kwa hatua ya kupiga picha kwaajili ya kupata Vitambulisho vya taifa muda huu zoezi linaloendelea katika wilaya ya ilala
Baadhi ya wakazi wa Segerea na vitongoji vyake wakiwa katika foleni ya kupiga picha kwaajili ya kupata vitambulisho vya taifa zoezi linaloendelea hivi sasa katika wilaya ya ilala.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List