CCBRT YAZINDUA SEMINA YA WATU WENYE ULEMAVU MBALIMBALI.


Ndugu Fredrick Msigallah, Advocacy Programme Manager akitoa ufafanuzi juu ya maswala ya watu wenye ulemavu kwa waandishi wa habari na watu walio hudhuria katika semina iliyofanyika CCBRT Dar Es Salaam.

Ndugu Amon Anasyale, Advocacy Officer akitoa ufafanuzi wa semina ya watu walio na ulemavu mbalimbali kwa waandishi wa habari na watu waliohudhuria katika semina hiyo iliyofanyika CCBRT.


Mgeni rasmi kutoka kulia na ma-officer wa CCBRT wakizindua na wakionyesha vitabu vilivyoandikwa maelezo kuhusiana na watu walio na ulemavu mbalimbali katika semina iliyofanyika CCBRT jijini Dar Es Salaam.

Mgeni rasmi akiwa pamoja na watu wenye ulemavu na watu wengine walio hudhuria katika semina hiyo katika picha ya pamoja CCBRT.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List