Juu na chini ni
Waziri wa fedha na Uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
William Mgimwa akilakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na
Mexico, Mhe. Liberata Mulamula mara tu alipowasili leo Jumamosi Oktoba
5, 2013 kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling,
Virginia. Mhe. Mgimwa anaongoza ujumbe wa Tanzania kuhudhuria mikutano
ya mwaka ya Benki ya Dunia inayoanza Jumatatu Oktoba 7, hadi 12, 2013
jijini Washington, DC
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni