Kamanda
Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, ACP Jehansen Kahatano (wa
pili kushoto) akipokea mipira itakayotumika kwenye mashindano ya Mpinga
Cup 2013 kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando
(wa pili kulia), pamoja na Rais wa Be forward Tanzania, Hironori
Yamakawa (kushoto). Katika makabidhiano hayo Airtel pia ilikabidhi mfano
wa hundi ya shilingi milioni tano kudhamini mashindano hayo ya Mpinga
Cup. Anaeshuhudia ni Mkuu wa usalama barabarani kanda ya Dar es salaam,
ACP Amiri Konja.
KamandaACP Jehansen Kahatano akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando iliyotolewa leo kwa dhumuni la
kudhamini mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki maarufu
kama Mpinga cup.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni