Kutoka Bungenin LeoWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Mideye, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola akichangia Bungeni Mjini Dodoma Novemba  1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiteta  na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kushoto), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (wapili kulia) na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mathayo David Mathayo, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List