MABONDIA SAID MBELWA , SHABANI KAONEKA WAPIMA UZITO KUPAMBANA LEO JUMAPILI NOVEMBA 10 PUGU KILUMBA



Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi ambaye ni mratibu wa pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Shabani Kaoneka Kushoto na Said Mbelwa baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Novemba 10 siku ya jumapili katika ukumbi wa Zulu Paradies Pugu Kilumba kesho 
Bondia Shabani Kaoneka kushoto na Said Mbelwa kulia wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito katikati ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D'
Bondia Said Mbelwa akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Shabani Kaoneka na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila Super D' mpambano utakaofanyika jumapili ya novemba 10 katika ukumbi wa Zulu Paradies pugu kilumba 
Bondia Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mpambano huo kushoto ni mpinzani wake said Mbelwa na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D' PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List