ZAIDI YA WAWEKEZAJI 65 KUTOKA UBELIGIJI WAWASILI NCHINI TANZANIA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI



1Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni mwa wawekezaji 25 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr. Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya Tanzania 3Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa ujio wa wawekezaji hao. 4Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia. 5Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
6Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akifafanua jambo kwa wawekezaji hao 7Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akihojiwa na waandishi wa habari kutoka kituo cha ITV ambao walifika katika mapokezi hayo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List