|
Aida
Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya,
hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets)
katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.
|
|
Mwanamke
huyo ambaye kwa hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya
Wazazi ya Meta akiwa na watoto wake wote wanne alijifungua majira ya saa
10 alfajiri usiku wa kuamkia Januari Mosi Mwaka huu katika Hospitali ya
Wilaya ya Mbozi na watoto wakiwa na uzito wa kawaida tofauti na
matarajio ya Wengi. |
|
Muuguzi
na msimamizi wa Watoto katika chumba cha Joto Sista Frolence Maisa
amesema hali za watoto ni nzuri ambapo mama mzazi anahitaji kupatiwa
vyakula vinavyoweza kumuongezea maziwa mengi kutokana na idadi ya watoto
aliyonayo. |
|
kikosi
cha blog ya Mbeya yetu Kikiongozwa na Joseph Mwaisango ambacho
kilifika kumjulia hali kiliguswa na hali hiyo na kujitolea kamsaada
kidogo wa nguo za watoto sabuni chupa na dishi hivyo kuwaomba wadau
wengine kumsaidia mama huyo ili aweze kuwalea vizuri watoto wake. |
|
Katibu msaidizi wa hospitali ya Rufaa Mbeya Mwansasu akipokea msaada huo kwa niaba ya mzazi
|
KATIKA
hali isiyokuwa ya Kawaida Mwanamke mmoja, Aida Nakawala 25 mkazi wa
kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni
alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku
wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri. Mwanamke huyo ambaye kwa hivi sasa
anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wazazi ya Meta akiwa na
watoto wake wote wanne alijifungua majira ya saa 10 alfajiri usiku wa
kuamkia Januari
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni