WALIOJENGA VIBANDA BILA KUFUATA TARATIBU KWENYE STENDI MPYA YA DALADALA MKOANI DODOMA WATAKIWA KUVIONDOA



Mmoja wa wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa amri ya kuondoa kimoja ya vibanda vilivyojengwa kiholela katika stendi ya daladala Jamatini wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa vibanda vya wafanyabishara.
 Mhandisi masaidizi manisaa ya Dodoma Luanda akitoa maelekezo kwa mama lishe waliopo katika stendi ya Daladala ya Jamatini kujenga vibanda sawa na vipimo vilivyowekwa sawasawa na utaratibu na sheria ndogo ndogo za manispaa hiyo.
 Mwajuma Salum maarufu Bibi Ndonga (64) akimlalamikia kwa kumuonyesha Mhandisi msaidizi wa manispaa ya Dodoma Luanda stakbadhi ambazo amekuwa akilipia katika kipindi cha miezi miwili bila kukabidhiwa eneo la kuweka kibanda chake cha biashara na viongozi wa eneo hilo mhandisi huyo alifika kuona utaratibu uliotumika kujenga vibanda vya biashara.
 Asikari wa kutuliza Ghasia wakiwa na mtutu wa Bunduki kusimamia uhakiki wa vibanda vya wafanyabiashara katika stendi ya Daladala Jamatini Dodoma kama utaratibu uliyowekwa ulifuatwa wakati wa ugawaji na ujenzi.

PICHA NA JOHN BANDA, DODOMA PAMOJA BLOG
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List