JUMA LESSO |
KOCHA wa timu ya ngumi Mkoa wa Kigoma
Juma Lesso amesema timu yake ya mkoa imekuja kamili kwa ajili ya
mashindano ya wazi yatakayofanyika Feb 5
katika viwanja vya Tanganyika Pekazi vilivyopo kawe jijini Dar es salaam
ni mara ya kwanza kwa timu ya Mkoa wa
Kigoma kushiriki mashindano makubwa kama haya timu hiyo ambayo imeweka
kambi yake maeneo ya kawe kabla ya hapo ilikuwa maeneo ya mabibo na sasa
kawe kwani mashindano hayo yalikuwa yafanyike Feb mosi mwaka huu na
sasa ni feb 5
lakini tuna mshukulu sana Mkuu wa Mkoa
wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kuakikisha tunashiriki katika
mashindano haya kwa mara ya kwanza
timu hiyo ambayo imekuja na wachezaji
kumi kati ya hawo wanawake watatu na wanaume saba ambao wakekuja
kuwakilisha mkoa wa Kigoma tutahakikisha kuwa tunachukuwa ubingwa huo ambao upo wazi
Lesso ambaye ni kocha wa kimataifa wa
mchezo huo ambapo amepitia kozi ya kimataifa ya mchezo huo Lesso
aliwataja baadhi ya mabondia aliokuja nao kuwa ni Agnes Mushi, Ezira
Josefu,Rashidi na Habasi na wengine ambao walikuwa katika kambi ya mkoa
huu wa Kigoma
ambapo tumepewa sapoti kubwa sana na
mkuu wa mkoa hivyo tutaakikisha atumwangushi na tunarudi na ubigwa
kigoma kwani tumejipanga kwa ajili ya kuchukua nafasi ya juu kabisa
kwani sasa ngumi Dar es salaam akuna tunahamishia mkoa wa kigoma ambapo
amasa inaendelea hivyo tunawaomba wana Kigoma wote waliopo Dar watupe
sapoti ili mambo yawe safi na mchezo wa ngumi uendelee kuwa juu
0 comments:
Chapisha Maoni