KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATIKISA KATA YA IFUNDA Wafuasi wa ccm wakishangilia kwa furaha walipofurahishwa na hotuba ya mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho, Godfrey Mgimwa katika Kijiji cha Kibena, Kata ya Ifunda, Iringa vijijini leo.
 Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu (kulia) akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo katika Kijiji cha Mibikimtali, Kata ya Ifunda, Iringa Vijijini leo.
 Wafuasi wa CCM WAKISHANGILIA BAADA YA KUFURAHISHWA NA HOTUBA YA MGIMWA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA KIJIJI CHA MIBIKIMITALI, KATA YA IFUNDA
 Akina mama wakiwa na furaha baadaya kumuona Mgimwa
 Mgimwa akihutubia katika mmktano wa kampeni katika Kijiji cha Mibikimitali
 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mko wa Arusha, Reheme Mohamed akimuombea kura mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kuptia CCM, Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye Kijiji cha Kibena, Kata ya Ifunda, Iringa Vijijini leo.
 Wafuasi wa CCM wakisikiliza ka makini hotuba iliyokuwa inatolewa na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa katika Kijiji cha Kibena, Kata ya Ifunda, Iringa Vijijini leo.

 Ofisa wa Umoja wa Vijana wa CCM Makao Makuu, Mwampamb akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa.
 Wananchi wakifurahi kusikiliza hotuba ya Mgimwa katika Kijiji cha Kibena leo
 Meneja a Kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Meja mstaafu Mbuta akielezea kwa wananchi sababu za kumpigia kura Mgimwa wa CCM, badala ya mgombea wa Chadema. Grace Tendega
Katibu wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu akimfania kampeni Mgimwa katika Kijiji cha Kibena leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List