Habari zilizotufikia hivi punde kutoka nchini Kenya zinadai kuwa Rais mstaafu wa nchi hiyo Daniel Arap Moi amefariki dunia katika Hospital ya Aga Khan alikokuwa amelazwa kwa matibabu
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA24 ZIJAZO
Saa 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni