MHOLANZI VAN GAAL AMBAKISHA RVP MAN UNITED




372084_heroaHALI shwari sasa!. Mshambuliaji wa Manchester United, Mholanzi, Robin Van Persie ameamua kuendelea kukaa katika klabu hiyo kufuatia kufukuzwa kwa David Moyes.

Kilichomvutia  zaidi nyota huyo ni klabu hiyo ya Old Trafford kutaka kumleta Mholanzi mwenzake, Louis Van Gaal kurithi mikoba ya ukocha mkuu.

Taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Van Gaal tayari ameshakubali vipengele vya mkataba saa 48 zilizopita ili kuwa kocha wa kudumu wa Man united.

Sio siri kuwa Van Persie amekuwa na mahusiano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa na sasa anaona itakuwa jambo zuri kukaa pamoja Old Trafford baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.

Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List