BIA MPYA SERENGETI


kampuni ya bia serngeti imezindua bia mpya itwayo serengeti platinum inayo tarajiwa kuleta mapinduzi katika soko la bia nchini uzinduzi wa bia hiyo imefanyika jijini Dar es salaam

akizungumza mara baada ya uzinduzi  huo  mkurugenzi wa masoko  wa kampuni ya serengeti Ephraim Mafuru amesema ,pamoja na wateja kuburudika na ladha mpya ya bia kwa wakulima wa shairi za ngano wataongezwa kipato kutokana na bidhaa zao kuitajika dhaidi  kwa soko la ndani

Meneja masoko wa kampuni hiyo Allan chanjo amesema bia hiyo mpya inaladha tofauti na bia nyingine na inaubora na kiwango cha kimataifa

bia ya serengeti platinum inazalishwa na viwanda vyote vitatu vya serengeti breweries vilivyopo kilimanjaro,mwanza, na dar es salaam na kinywaji hicho hupatikana nchi nzima
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List