MDAHALO WA KUJADILI KATIBA MPYA


 mdahalo wa kujadili changamoto mbalimbali zilizo tokea katika kujadili mchakato wa katiba mpya ulio fanyika bungeni ...Dodoma ambapo yaliweza kutokea matabaka ndani ya bunge yaliyo fanya kushindwa kuelewana kwa wajumbe wa bunge la katiba mpya .



 mdahalo ulio fanyika leo lengo ni kujipanga upya kwa muda ulio baki  na kuangalia nini kifanyike ili malengo yaweze kutimia  ya kupata katiba mpya










Wana nchi wakisiliza Mdahalo kwa makini


Prof. Mwesiga Baregu akitoa mada katika mdahalo
huo ulio fanyika jijini Dar es  salaam

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List