Serikali imeshauriwa kuwasaidia wafugaji wadogo nchini mradi wa Kopa Ng'ombe lipa Ng'ombe ili waweze kuJfanikiwa kimaendeleo na kuepukana na maswala ya Umasikini wa kipato,wananchi wa mtaaa wa Yombovituka wilaya ya Temeke jijini Dar es alaam wamesema mradi huo wanasikia kwa baadhi ya watu yakuwa wamewezeshwa mkopo wa Ng'ombe lakini wao awajawahi kupata pamoja wanatamani nao wangewezeshwa mkopo huo.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Saa 11 zilizopita
Blogger Comment