wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wakionyesha vipaji ndani ya klabu ya sayansi ya lugha(lingustics club) ambapo msanii stone gold a.k.a jiwe aliibuka mkali au kinara wa shoo baada ya kutumbuiza vizuri zaidi na kuwanyanyua watu.Msanii huyo ambaye jina lake kamili ni STUARTY GEORGE,ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam(DUCE)ameomba udhamini wa kazi zake za mziki na kuwaambia mashabiki wakae mkao wa kula.
KURUI Vs KISARAWE WAKIPIGA MZENGA
-
*Mzenga,Kisarawe*
Timu za soka Kata ya Kisarawe na Kurui jana tarehe 17 Januari 2025
zimetoka sare ya goli moja moja ikiwa ni katika hatua ya kuwania ...
Saa 13 zilizopita
Blogger Comment