vijana hao wapatao zaidi ya elfu moja wanao fanya kazi ya uvunaji wa misitu wamesema kwa sasa wanashindwa kufanya kazi za kiuchumi kutokana na ofisi ya halmashauri ya rufiji kupandisha kodi ya ushuru kwa kiasi kikubwa
kitanda kutoka alfusita hadi laki na ishirini bei ya kusafirisha
kabati kutoka elfusita hhadi elfukumi na tano
dirisha shilingi elfusita hadi elfu tisini
mlango toka elfu nne hadi elfu tisini
kawahiyo kiasi hicho kimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana.....
Mwenyekiti wa UV CCM RUFIJI Bwana SHABANI
amewataka vijana hao wshirikiane pamoja waunde vikundi wajisali ili wapate kusikika na umoja huo
wasijali hitikadi za vyama.....
vijana hao wamesema hivi sasa wanakabliwa kuwa na maisha magumi kiuchumi ili serikali iwanusuru wasiji ingize kwenye majanga ya uwalifu wameomba wasilizwe kilio chao kwa kuwa wao wanafamilia zinazo wategemea
Samweli ngabange afisa misitu mwandamizi rufiji amesema swala la kupandisha ushuru wa maliasilia wamefata tangazo la serikali namba 433 la tarehe 29/11/2013
kilio cha vijana kutokana na ushuru kupanda kwa gharama kubwa wamelisikia wawe na uvumilivu si jamba la uwamuzi wa mtu mmoja mbali ni swala la serikali maombi yao yatafikishwa sehemu usika wawe na uvumilivu
Blogger Comment