KIKUNDI CCHA EKWA NEW TABATA DAMPO WAFANYA MKUTANO MKUU







 wanakikundi cha EKWA NEW tabata dampo wakijipongeza  kwa kikundi kutimiza miaka miwili chenye nia ya kujiongezea maendeleo ya kiuchumi kwa kujiwekea akiba kuweka na kukopa wenyewe wanachama wa EKWA NEW tabata dampo hivi  sasa kikundi hiko kina akiba ya millioni hamsini na nane






wakati wa tafrija hiyo mgeni rasmi alikuwa ni meya wa manispaa ya ilala JEERY SLAA  wanachama hao wame muomba tenda ya usafi wa mazingira wa ifanye wao wanachama wa  EKWA NEW tabata ilikuweka manispaa ya wilaya ya ilala kuwa katika mazingira safi na salama ombi hilo wamesema katika lisala yao iliyo andaliwa na kikundi hicho












meya wa manispa  ya wilaya ya ilala  MH JERRY SLAA  amewapongeza kikundi cha EKWA NEW TABATA DAMPO kuwa na akiba ya kiiass kikubwa ya millioni  Hamsini na nane pia ametowa wito wawe na nidhamu ya fedha waweke wazi swala la maesabu kwa wanachama wote kuepusha migogoro ili kikundi hicho kiwe na maendeleo zaidi
 pia amesikia ombi lao la usafi wa mazingira ataalifanya kazi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List