Wakazi wa kijiji cha Mataya kata ya kilomo waki sign fidia za malipo ya aridhi zao

Wakazi wa kijiji cha Mataya kata ya kilomo waki sign fidia  za malipo ya aridhi zao ili kupisha mradi wa ujenzi wa ospitali kuu ya jeshi la wana nchi wa tanzania JWTZ linalo tarajiwwa kujengwa katika kijiji hiko











 jumla ya wana nchi hamsini na saba walio lipwa fidia hizo ambao wanategemewa kuama na kupisha mradi huo


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List