Ramani inayoonyesha ardhi ambayo wamewekeza
Meneja wa mauzo GEORGE COLYVAS na HAYAT ABDULAZIZ
Meneja wa mauzo GEORGE COLYVAS na HAYAT ABDULAZIZ
Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD inajishughulisha na upimaji na uzaji wa viwanda imeamua kutoa Elimu kupitia maonyesho ya biashara ya Sabasaba juu ya matumizi na uwekezaji katika ardhi kwa manufaa ya watanzania.Wakizungumza na mwandishi wamesema ARDHI ndo silaha ya kumboa mtanzania hivyo ni vizuri kama watanzania wenge wekeza katika ardhi.
Blogger Comment