MAZIWA YA TANGA FRESH NI KIVUTIO MAONYESHO YA SABASABA YA 38 DAR ES SALAAM,NYUMBANI KWANZA





nembo ya maziwa ya TANGA FRESH

PROTAS KIMARIO (SENIOR SALES OFFICER)

Mkusanyiko wa wateja Banda la Maziwa ya TANGA FRESH


Wafanya Biashara wa ndani wameonyesha kuyafurahia maonyesho ya Sabasaba na kuwaomba watanzania watumie bidhaa zinazozarishwa ndani na kupatikana kwa urahisi ndani ya nchi.Hayo yamesibitika katika kampuni ya TANGA FRESH LIMITED inayozalisha maziwa bora zaidi Tanzania.Afisa mauzo Ndugu Charles Fumbo amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika Banda lao hili kupata habari na bidhaa zao bora kabisa zenye viwango vya kimataifa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List