MKUTANO MKUU WA CUF WACHAGUA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UONGOZI WA TAIFA



Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif, akitumbukiza kura yake kuchagua wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la Uongozi, Kanda ya Mashariki uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF, wakifuatilia mkutano huo.
Baadhio ya wagombea wa nafasi ya ujumbe katika Mkutano mkuu wa CUF Taifa, wakijiandaa kuomba kura. 
Vijana wa Uhamasishaji wa Chama cha CUF, wakitoa burudani wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, jana.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List