MRADI WA KUWATETEA WASICHANA WAFUNGULIWA(TWAWEZA)

Wazazi wakisikiliza kwa makini.

watoto wakifuatilia matukio ya mradi wa sasa twawezA.

Diwani wa wa kata ya Mbagara kuu.JOHN MALAWANDU

Afisa elimu wa manispaa ya temeke elimu ya watu wazima ANGELA FRANK

Raisi wa mradi KIM POWER

Raisi wa mradi akivishwa batiki.


Mr Paulo power akivishwa shati la batiki

Mkurugenzi wa  TanzaniaWomen and Youth development society(TWYDS)Bi.Sophia Mwakagenda wa kwanza kushoto.


wacheza NGOMA wakitoa buradani wakati wa uzinduzi wa mradi wa Twaweza


Diwani akifungua kitabu ambacho kinaelezea mradi wa twaweza wenye lengo la kuwasaidia watoto wa kike ili waweze kufanya vizuri masomo yao.

Sunflower Foundation Austraria wakishirikiana na Tanzania women and youth development society wafungua mradi wa Twaweza wenye lengo la kuwapa uwezo wanafunzi wasichana wa shule ya msingi ili kufaulu katika mitihani yao.Pia mradi huo umelenga kupunguza matatizo ya upatikanaji mimba utotoni,utolo shuleni,kuepuka mahusiano ndani ya Umri mdogo na kuongeza uwezo wa darasani kwa wasichana.Mradi huo unapinga ukatili kwa wasichana na unyanyasaji.na kutoa fursa kwa wasichana kujiendeleza kielimu kama kinga na nafasi ya maendeleo kwa wasichana,Mwisho wanaomba wazazi,viongozi wa siasa kushirikiana kwa karibu ili kufanikisha mradi huo.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List