 |
Bondia
Jems Martn kushoto akitunishiana misuli na Hamza Mchanjo baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi utakaofanyika katika
ukumbi wa Zulu Paradaise uliopo Pugu Kirumba Road Picha na www.superdboxing coach.blogspot.com |
Dr, Mohamed Hassani 'Bula' akimpima Afya bondia Twalibu Mchanjo baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano na Adamu Ngange jumamosi hii
 |
Bondia Twalibu Mchanjo akipima uzito |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment