fundi ujenzi amefariki dunia akiwa katika kazi zake za ujenzi mara baada ya kudondoka kutoka juu ya paa ,aliteleza kwenye ubao alio kuwa ameukalia .na kufikia. kichwa na.na kupasuka kichwa na hatiaye kupoteza maisha ,na urefu kutoka kwenye paah hadi sakafuni kuna urefu wa mita 15. marehemu amefahamika kwajina la Daudi chaften chuma akiwa na miaka 45 mkazi wa kibiti rufiji ,
tukio hilo lilitokea katika kanisa jipya la roman catholic linalo jengwa apo kibiti ,mwili huo ulikimbizwa kituo cha afya kibiti akiwa kisha kufa, mwili wakabidhiwa wandugu wa marehemu kwa maziko, na kuzika leo kwa wazazi wake wilaya ya mkuranga,
kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa pwani RPC Ulich onesful matei amesibitisha kutoka kwa kifo cha marehemu David chaften chuma
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 2 zilizopita
Blogger Comment