waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dr. Shukuru kawambwa amefunga mafunzo ya liyo tolewa kwa maaafisa elimu ya kupambana na majanga

waziri DR,Shukuru Kawambwa akifunga mafunzo.
 Serikali imesema kuwa na pamoja  na   kukabiliwa  na changamoto mbalimbali katika secta ya elimu inawajibu wa kuendeleza secta hiyo  kwa kuwaongezea uwezo watendaji ili  waendane na kazi na maendeleo  ya elimu nchini kutokana warsha mbalimbali na mafunzo  yanayo tolewa na serikali.Mafunzo hayo ya wiki tatu yalitolewa na ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa elimu vifaa na takwimu(SLOs)na Maafisa elimu taaluma(DAOs) ili kukabiliana na majanga pindi yanapotokea.

Dr Siston MasanjaMkurugenzi  mtendaji chuo cha ADEM Bagamoyo
akiwa amasisha maafisa elimu baada ya kuitimu mafunzo yaelimu
ya majanga
jumla ya wahitimu maafisa elimu  639  kutoka mkoa yote wameuzuria mafunzo hayo yaliyo fanyika wilaya ya bagamoyo mkoani pwania

Maafisa elimu walio hitimu elimu ya majanga






















Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List