ELIMU YA TECHNOLIGIA MPYA KWA WATOTO

 Katika  kuunga mkono jitahda za serikali katika  kuendeleza elimu  ya awali nchini,  shirika la NILOMAKI kwa kushirikiana  na Vyuo vya elimu  ya juu nchini lina fanya utafiti wa njia mpya ya ufundishaji watoto wadogo kwa kutumia simu za mkononi unao itwa Grapho game

 Teknologia hii  ya ufundishaji imeonyesha  mafanikio makubwa nchini Finland na  na dhumuni lake la kusambaza mafanikio haya duniani kote  taratibu wameanza kuingia barani  afrika  wakianzia nchini kenya,zambia,na tanzania
Mwl.mkuu Joyce Haule
 tecknologia iliyo tumika katika kutengeneza  grapho game  kiswahili imefanikiwa kuteka akili za watoto hawa wanaotumia mchezo huu na kujikuta wakitumia  muda mwingi bil kuchoka     






mwanafunzi akionekana kufurahia elimu hiyo ya grapho game
afisa elimu wilaya ya bagamoyo Abdul Buheti
  

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List