ZANTEL YAIPIGA TAFU SHILIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA' BFT' MILION KUMI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na  viongozi kutoka Chama cha Ngumi Tanzania (BFT) wakiunganisha mikono kwa pamoja  kuonyesha ushirikiano wakati wa makabidhiano ya hundi ya shilingi Milioni kumi kama  msaada kutoka Zantel kwa Chama cha Ngumi Tanzania (BFT).

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea  msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za  Ridhaa Tanzania (BFT)  jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel  Bw. Pratap Ghose.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na  viongozi kutoka Chama cha Ngumi Tanzania (BFT) wakiunganisha mikono kwa pamoja  kuonyesha ushirikiano wakati wa makabidhiano ya hundi ya shilingi Milioni kumi kama  msaada kutoka Zantel kwa Chama cha Ngumi Tanzania (BFT).
Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania Bw. Mutta Rwakatare akitoa shukrani kwa Zantel baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni kumi kuinua mchezo wa  ngumi, kushoto ni Katibu Chama cha Ngumi Tanzania Bw. Makole Mashaga na kulia ni  Mjumbe wa Maendeleo ya Wanawake Bi. Aisha George Voniatis. Picha na Genofeva Matemu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List