WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA,WATENDAJI,MADIWANI,VIONGOZI TEMEKE WAPEWA SEMINA ELEKEZI YA ULINZI NA USALAMA


 Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salam Suleiman Kova amewataka wenyeviti wa Serikali za mitaa,Wajumbe,Watendaji,Madiwani pamoja na viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Temeke washirikiane pamoja katika swala la ulinzi na Usalama kwa kuwa jamii ndio wanaishinayo kwenye mitaa.

Swala la Ulinzi na Usalama wasiacheye Jeshi la Polisi peke yake, hushirikiano huo utadhibiti waharifu wasiendeleo hata matukio mbalimbali ya Panya road,Mbwamwitu watadhibitiwa kufanya matukio ya Uwalifu mkoa wa Dar es salam.hayo yamesemwa katika semina elekezi ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Temeke mafunzo hayo yatatolewa wilaya zote za jijini Dar es salam lengo jamii waishi kwa amani na Usama na mali zao.

PICHA YA PAMOJA VIONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAM  PAMOJA NA WILAYA YA TEMEKE WAKIWA PAMOJA KATIKA MAFUNZO YA SEMINA ELEKEZI ULINZI NA USALAMA WILAYA YA TEMEKE

 Afisa Uhamiaji wa Mkoa wa Dar es salama     Grace hokororo   amewataka wananchi wawafichue Wageni wanaoingia katika mitaa yao,hata hivyo wageni hao wanaitia gharama ya asara Serikali kuwarudisha kwao. Wakiwaacha kuingia olela watasababisha machafuko,Uwalifu Amani iliyopo inaweza kutoweka.amesema swala la Ulinzi na Usalama wakila mmoja nchini.
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAM SULEIMAN  KOVA













VIONGOZI WA SERIKALI NA WA HALMASHAURI YA TEMEKE WAKIWA KATIKA MAFUNZO YA SEMINA ELEKEZI
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List