Ambapo wakipewa mafunzo mbalimbali ili wajipanga vizuri kwa Chaguzi mbalimbali zinazokuja zikiwepo Serikali za Mitaa,Ubunge na Urais waweze kushinda kwa kishindo. Katika wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.Wajumbe hao wa Jumuiya ya Wazazi walioshiriki mafunzo hayo kutoka majimbo mawili likiwepo Chalinze na Bagamoyo.
Mafunzo hayo yalikwenda sambamba na swala la uchumi ndani ya Jumuiya ndipo kwenye miradi yote ya Chama cha Mapinduzi kusimamia miradi iliyopo iweze kuwafaidisha wanachama kiuchumi,kuwa wabunifu wa vyanzo mbalimbali vya mapato, Majimbo yote mawili Bagamoyo na Chalinze wasiwe tegemezi katika swala la maendeleo, kufatilia miradi ya Jumuiya Isipotee kwa baadhi ya viongozi wasiokuwa waaminifu.
Kusimamia shule zote zilizopo wilaya ya Bagamoyo kufatilia mienendo ya wanafunzi,uwajibikaji wa Walimu,wazazi kuamasishwa kuhudhuria vikao vya shuleni kutoa ushirikiano kwa walimu ,wanafunzi pamoja na wazazi ili elimu ya Bagamoyo iwanufaishe vijana wa Pwani,pia wasifatilie tu swala la shule za jumuiya ya Wazazi bali shule zote zilizopo wilaya hiyo ,pamoja na kusimamia kupinga mimba za utotoni,ndoa za utotoni pamoja na maswala ya utoro kwa wanafunz\
Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo pia Waziri wa Elimu ya mafunzo na ufundi stadi Mhe Shukuru Kawambwa baada ya kufungua semina hiyo elekezi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.,
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo pia Waziri wa Elimu ya mafunzo na ufundi stadi Mhe Shukuru Kawambwa baada ya kufungua semina hiyo elekezi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.,
Mwanyekiti wa jumuiya ya wazazi wilaya ya Bagamoya Mh;ABDUL ZAHORO SHARIF
Mwanyekiti wa jumuiya ya wazazi wilaya ya Bagamoya Mh;ABDUL ZAHORO SHARIF
wanachama wa CCM jumuiya ya wazazi wakisikiliza kwa makini maelezo siku ya semina wilaya ya Bagamoyo
wanachama wa CCM jumuiya ya wazazi wakisikiliza kwa makini maelezo siku ya semina wilaya ya Bagamoyo
wanachama wa CCM jumuiya ya wazazi wakisikiliza kwa makini maelezo siku ya ufunguzi wilaya ya Bagamoyo
Viongozi wa jumuiya ya wazazi wakiendelea na ufunguzi wa semina elekezi
0 comments:
Chapisha Maoni