VOTERS VOICE(Sauti ya mpiga kura)

ni taasisi iliyo anzishwa kwa lengo la kusimamia,kuongea na kupaza sauti kwa niaba ya mwananchi ambaye ndiye mpiga kura.Wananchi wengi ambao ndio wapiga kura wanakuwa na kero ambazo kwa namna moja ama nyingine hawawezi kuzifikisha kwa viongozi wao walio wachagua,hivyo basi kama taasisi inajihusisha,kukusanya maoni na kero za wananchi na kufikisha mahali husika na kwa wakati muafaka.

Pia taasisi inajihusisha na utoaji wa elimu kwa jamii ya kisasa,kiuchumi na kijamii hivyo basi ili yote yatimie nilazima mwananchi atambue thamani ya ile kura yake anayo mpa kiongozi wake ,kwani ndio chachu ya maendeleo ya mwananchi,elimu hiyo ina ambatana na utafiti unaofanywa na taasisi kupitia dodoso wanazopewa wananchi wazijaze.

VOTERS VOICE(Sauti ya mpiga kura) wakiwa wilaya ya mkuranga,mkoa wa Pwani,Kijiji cha kibamba kata ya Tambani walionana na wananchi na kupata maoni yao na kupanga mbinu ya kufikisha maoni yao,

ANDREW MWAKALEBELA(Afisa habari VOTERS VOICE(Sauti ya mpiga kura)

ANDREW MWAKALEBELA(Afisa habari VOTERS VOICE(Sauti ya mpiga kura)

MUGISHA KAHAMA(kaimu mkurugenziVOTERS VOICE(Sauti ya mpiga kura) 

WANANCHI WAKITOA HOJA ZAO KAMA WAPIGA KURA KUHUSU UONGOZI WAO.


WANANCHI WAKITOA HOJA ZAO KAMA WAPIGA KURA KUHUSU UONGOZI WAO.

WANANCHI WAKIWA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ILI KUTOA MAONI YAO JUU YA VIONGOZI WALIOWACHAGUA.

WANANCHI WAKITOA HOJA ZAO KAMA WAPIGA KURA KUHUSU UONGOZI WAO.

WANANCHI WAKIWA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ILI KUTOA MAONI YAO JUU YA VIONGOZI WALIOWACHAGUA.

MH.SALUM SHABANI MLANGWA(mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Kibamba kata ya TAMBANI)

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List